Clip of the Week







In The News
- All
- Politics
- Religion
- Sports
- World
Corruption
Justice
Politics
Serikali ya Magufuli yatumia “kesi mbaya” kuchuma mapesa kwa kutesa wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanaharakati
HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kukamata na kutesa raia, kuwafungulia kesi mbaya na hatimaye kuwanyang’anya fedha, imeelezwa kuwa ni mkakati wa kujinufaisha kwa pesa za haraka haraka,...
BAADHI ya vilabu vikubwa vinavyoshiriki mashindano makubwa ya soka ya England, vimeanza kunyemelea saini ya mchezaji wa Tanzania, Kelvin Pius John. Mchezaji huyo, kijana wa miaka 17 aliyezaliwa Kijiji...
TANZANIA’S leading private carrier, Precision Air, which has been unable to raise cash from the air markets for three consecutive years, faces the risk of running out of liquidity...
Business
Economy
Politics
Uncategorised
China lobbies to revive Bagamoyo Port construction previously halted by Magufuli
CHINA is lobbying to revive the construction of the Bagamoyo Port, a project that was previous ridiculed and halted by President John Magufuli, SAUTI KUBWA has learnt. Almost agreed...
Business
Corruption
Politics
Ubeberu wa China kumfanya Magufuli “alambe matapishi” yake kuhusu Bandari ya Bagamoyo
CHINA imemweka mtegoni Rais John Magufuli. Taarifa zinasema yupo njiani “kulamba matapishi” yake na kuridhia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, ambayo aliigomea na kutengua makubaliano ya uendelezwaji wake kwa...
Media
Politics
Serikali yampa Musiba “talaka mbili” kwa kukosea kazi aliyopewa dhidi ya wakosoaji wa Rais Magufuli
VYOMBO vya habari vilivyoanzishwa na dola kimkakati kwa ajili ya kushambulia, kutukana, kudhalilisha na kudhihaki wakosoaji wa Rais John Magufuli, viko mbioni kufungwa baada ya “kumaliza kazi,” SAUTI KUBWA...
Politics
Religion
Anna Mghwira ajiingiza katika mgogoro na Kanisa Katoliki akitaka lipindishe taratibu za mazishi
MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira (62), amejiingiza katika mgogoro wa kiimani na Kanisa Katoliki baada ya kuingilia taratibu za mazishi, akitumia mamlaka ya kisiasa kuamuru kanisa lipinde kanuni...
MORE and more print media in Tanzania are facing tough economic times, with major media outlets expecting to either close business or jump to digital production as readers’ purchasing...
Bungeni
Kamati ya Bajeti imesema Stempu za Kielectroniki (Electronic Tax Stamp-ETS) NI KASHFA KUBWA: Kampuni iliyopatikana kinyemela kulipwa TZS67 bilioni kwa mwaka. Hii hapa kauli...
Trending News
Mabeyo na Dk. Kipilimba wamekerwa na rais kujaza Wanyarwanda katika idara ya usalama; Sirro naye anahaha kuondoa polisi kwenye mikoni michafu ya Bashite
THE twist goes on in the abduction incident of the Tanzanian billionaire Mohammed Dewji (Mo), as new developments reveal a silent tug of war...
INDEPENDENT investigations into the kidnapping of Africa’s youngest billionaire, Mohammed Dewji (43), have revealed that he is apparently being held in a secret torture...
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo Rais John Magufuli katika vita ya ufisadi. Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza...
Na Mwandishi Wetu RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti vyombo vya habari, wanaharakati, na wapinzani hata...
KWA wiki kadhaa kumekuwepo mchuano mkali kati ya mwanaharakati Mange Kimambi na Rais John Magufuli wa Tanzania. Mange, mwanamitindo na mwanaharakati wa uhuru wa...
Politics
UTAWALA wa Rais John Magufuli umeendelea kujizolea kashfa ya kutumia “silaha ya uraia” katika kukomoa raia, kuzima sauti za wananchi na kulipiza visasi. Zamu...
WHEN Tanzania’s President John Magufuli suddenly fired the director-general of the country’s intelligence and security service on Thursday this week, many were surprised but...
Politics
HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kukamata na kutesa raia, kuwafungulia kesi mbaya na hatimaye kuwanyang’anya fedha, imeelezwa kuwa ni mkakati wa kujinufaisha...
Entertainment, Arts & Sports
BAADHI ya vilabu vikubwa vinavyoshiriki mashindano makubwa ya soka ya England, vimeanza kunyemelea saini ya mchezaji wa Tanzania, Kelvin Pius John. Mchezaji huyo, kijana...
World
THERE are all significant signs that Tanzania may soon have a huge number of Covid-19 victims as three major hospitals in the country’s economic...