Ahoji sababu ya kutodai Sh trilioni 1.2 kutoka IPTL na Arab Contactors Ahofia usiri unaoleta mwanya wa mikataba ya upigaji katika miradi ya gesi WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba,...
Author: Juliet Wanzagi
This is the Swahili version. For English version please visit https://sautikubwa.org/right-the-wrongs-spotlight-on-the-2020-general-election-in-tanzania/ Jipatie ripoti maalumu ya uchunguzi kuhusu madhila ya uvunjifu wa haki za binadamu katika uchaguzi mkuu wa 2020...
People and Events
Politics
Mpwa wa Magufuli adai anaponda raha kwa Samia kuliko enzi za utawala wa mjomba wake
FURAHA Dominic, mpwa wa hayati John Pombe Magufuli (aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania) amesema kwa sasa anaishi kwa raha zaidi kuliko kipindi cha uongozi wa mjomba...
JESHI la Polisi nchini Tanzania limeingia katika hatua mpya ya uonevu na udhalilishaji wa raia, baada ya akina mama waliokuwa wameshikiliwa na polisi kwa siku kadhaa kinyume cha sheria...
Afya
People and Events
Politics
World
President Samia to get first jab of US-donated Corona vaccine to Tanzania
PRESDENT Samia Suluhu Hassan of Tanzania is expected to lead her nation in rolling out the administration of Johnson & Jonhson COVID-19 vaccine in the country formerly notorious for...
BAADHI ya Watanzania maarufu wakiwamo waandishi wa habari, wanamichezo, wanasiasa na wafanyabiashara ambao tayari wamechanjwa dhidi ya maambukizi ya COVID-19, wamehimiza serikali ya Tanzania ifanye haraka kuleta chanjo nchini...
ZANZIBAR imeanza kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa wananchi wake na jana watumishi wenye hatari zaidi ya kuambukizwa walidungwa kinga hiyo. Zanzibar ilipokea shehena ya kwanza ya chanjo hiyo...
Afya
Politics
Mlipuko mpya wa Corona walazimisha Tanzania kutangaza tena takwimu baada ya kimya cha miezi 14
SASA ni dhahiri kwamba maambukizi ya virusi vya Corona nchini Tanzania ni makubwa kuliko inavyoweza kufichwa, kwani kumebainika kuwepo ongezeko la vifo, hasa maeneo ya mijini kutokana na chazo...
VICKY Nsilo Swai, a woman who kept Nelson Mandela’s pair of leather boots for 33 years, will be laid to rest tomorrow, Tuesday June 15, 2021 in her home...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Tanzania Mfuko umeingia katika kashfa nzito ya kukata kiasi kikubwa cha fedha kutoka kwenye madai ya wamiliki wa hospitali binafsi wanaohudumia...