KATIKA dunia ambayo ushirikiano katika sekta zote hauwezi kuepukika, uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ambao sasa ni vita baina ya mataifa haya mawili, umeanza kuleta mabadiliko makubwa katika...
Sports
WACHEZA soka bora kwa miongo miwili mfululizo, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, wamemaliza kalenda ya soka ya mwaka 2021 wakiwa vinara wa mabao katika vilabu vyao vya zamani, Barcelona...
LIONEL Messi, Kapteni wa Timu ya Taifa ya Argentina anayechezea klabu ya Paris St-Germain (PSG) ya Ufaransa, ametangazwa kuwa mshindi wa Ballon d’Or – tuzo ya mwanasoka bora wa...
ALIYEKUWA mkufunzi mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amefutwa kazi dakika chache zilizopita. Bodi ya klabu ya Manchester united ilikutana baada ya mchezo wa jumamosi jioni kati ya...
Waandishi wa Barca Universal wachagua wachezaji watatu bora wa Ballon d’Or kwa mwaka 2021. Wakati mwisho wa mwaka unakaribia, mashabiki wa soka wanageuza vichwa vyao kuelekea tuzo ya Ballon...
LIONEL Messi, gwiji wa soka katika zama hizi, alianza kwa kusuasua katika klabu yake mpya ya Paris Saint-Germain (PSG), lakini baada ya kuwa amesoma mchezo, sasa mambo yameanza kubadilika...
BAADA ya sifa ya Tanzania katika michuano ya kimataifa katika riadha kufifia, kupoteza mvuto kwenye mpira wa miguu, sasa nchi hiyo ya Afrika Mashariki inasomeka vyema katika medani za...
TAYARI Cristiano Ronaldo (36) ametangazwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya soka Manchester United ya England. Hii imekuja baada ya klabu ya Manchester United na Juventus kukubaliana kwa...
KLABU ya soka ya Manchester United imetoa tamko rasmi la kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo, 36. Kupitia ukurasa wake, timu ya Manchester United imethibitisha;_ “Manchester United inayofuraha...
UJIO wa Messi katika klabu ya Paris Saint-Germain, unatarajiwa kuwa na faida kubwa si tu kisoka bali pia kibiashara klabuni hapo na nje ya klabu. Hii inakuja kama habari...