IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
Religion
WAHAYA na Wanyambo wana usemi kwamba “mtoto atukanaye wazee hatukani mtu mmoja.” Usemi huu, ambao pia hutumiwa naWasubi na Wazinza (waishio katika maeneo ya Wilaya za Biharamulo na Chato)...
UCHAMBUZI HUU MFUPI UMEANDIKWA NA Dk Chris Cyrilo NA KUSAMBAZWA MITANDAONI LEO KAMA SEHEMU YA MJADALA ULIOSABABISHWA NA RAIS JOHN MAGUFULI KATIKA HOTUBA YAKE KWA WAAMINI BAADA YA MISA...
NIMEMSIKILIZA Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu....
VYOMBO vya dola vimemnyanyasa Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, kwa siku tatu mfululizo sasa kutokana na deni ambalo anadaiwa na Kampuni ya Ujenzi ya...
Afya
Politics
Religion
“Uasi wa maaskofu” wasaidia kubadili tabia za Watanzania katika kujikinga na Corona
KATIKA wiki mbili hizi, tayari kuna kila dalili kwamba Watanzania wengi, hasa wakazi wa Dar es Salaam, wamezinduka na kuanza kuzingatia njia za kujikinga na maambukizi ya janga la...
A new wave of Coronavirus infection in Tanzania has sparked alarm and new stance that forced the Tanzania Catholic Episcopal Conference (TEC) to issue an official statement to its...
Afya
Religion
Kanisa Katoliki Tanzania lavunja ukimya rasmi kuhusu Corona. TEC yatoa tamko kutahadharisha waamini
WIMBI jipya la maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Tanzania limeibua msimamo mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), na sasa limetoa tamko rasmi kwa waamini wake. Katika...
Afya
Politics
Religion
Askofu Mkatoliki ampinga Magufuli kuhusu uwepo wa Corona Tanzania. Asambaza waraka mzito kwa waamini
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Mhashamu Isaac Amani, ambaye huko nyuma amewahi kuonekana kama ni swahiba na mtetezi wa Rais John Magufuli, ameelemewa na uzito wa ushabiki...
TANZANIA’s Media Services Act (2016) is, according to journalists and rights groups, violating the rights to freedom of expression. In addition to the act, amid COVID-19 crisis, the Tanzanian...