SK Media and Journalists For Justice are jointly releasing a report: “Right the Wrongs: Spotlight on the 2020 General Election in Tanzania,” which documents how armoured vehicles patrolled the streets where security forces, including the Tanzania Police Force, the Tanzania People’s Defence Forces, Zanzibar Special Forces and alleged...
Author: adminmkulu
MAKONDA MBABE TUMJUAYE NDIYE ANALIALIA KWAMBA AMEDHULUMIWA?
MAJERUHI WA KISIASA
Nani alimuua Lwajabe?
Lissu akiwa Karatu leo
Kwenye viwanja vya Mnada wa Ng’ombe Mjini Bariadi Mkoani Simiyu, Mkutano mkubwa wa kampeni za uchaguzi mkuu. Mheshimiwa Tundu Lissu akihutubia maelfu ya wananchi wa Bariadi.. Nilikuja hapa bariadi...
Taarifa iliyonishituwa Kuhusu Kifo Cha Azori Ngwanda, Prof Kabudi Mimi sikusema Amefariki mmeninukuu
Naomba na hili la maafa nilizungumzie kidogo kabla halijazikwa na maajabu mengine ya nchi yetu. Nadhani Mheshimiwa Rais wetu ana tatizo kubwa na misiba ya kitaifa ambalo wanaofahamu zaidi...
Wasikilize Ansbert Ngurumo, mhariri wa SAUTI KUBWA, na Khalid Hassan, mwandishi wa habari mkongwe kutoka Burundi, wakijadili uhuru wa vyombo vya habari katika “meza ya duara” ya Sauti ya Ujerumani (DW)....
JOSEPH Mbilinyi (Sugu), mbunge wa Mbeya Mjini aliyeachiwa ghafla jana kutoka gereza la Ruanda, anasema anapaswa kuombwa radhi kwa uonevu aliofanyiwa kwa sababu za kisiasa. Msikilize.