MAGUFULI ASITUTISHE, KAZI YA WANASIASA NI SIASA

ANSBERT NGURUMO, mhariri wa SAUTI KUBWA anajibu onyo la Rais John Magufuli kuhusu marufuku ya mikutano ya siasa. Kauli hii ilitolewa kujibu “amri” ya  Rais Magufuli alipozuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, akidai wakati wa kufanya siasa ni wakati wa uchaguzi. Magufuli anasema kuwa wakati huu wakati wa kazi, si wakati wa siasa. Ngurumo anasisitiza kuwa kazi ya wanasiasa ni kufanya siasa.

Like
5
2 Comments
  1. Celestine 6 years ago
    Reply

    Naamini ukiwa nje ya hapa tulipo sisi, namaanisha tz, waweza kuwa chachu ya mabadiliriko ya kweli. Naamini mlioko nje mkiungana nasi tulio ndani tz inaenda kubadili.
    Kama ujuavyo, si salama sana kupanza sauti ukiwa humu ndani, hasa katika utawala huu, basi mliofanikiwa kutoroka mtusaidie kupaza sauti zetu, sisi tutakuwa tunawapatia yale yanayojili katika maeneo yetu.

    0

    0
  2. Mtanzania 6 years ago
    Reply

    Ni mara ya kwanza tunapata changamoti kutoka kwa mTz aliye nje ya nchi. Ahsante Ngurumo

    0

    0

Leave a Comment

Your email address will not be published.