Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza kamari maisha yanaendelea.
Author: Arodia Peter
Afya
Business
Corruption
Main
Media
People and Events
Sports
Kubeti: Jinamizi linalotafuna vyeti, ndoa, pesa, ubongo, na uhai
- Dar es Salaam yatia fora kwa watoto kucheza kamari
- Serikali, wazazi, viongozi wa dini wabebeshwa mzigo
- Sheria inasema kamari ni mchezo wa burudani, si ajira