"Ni kitu ambacho kisichowezekana! Eti uweke Shilingi 200, ushinde milioni 51. Naweza kusema ni kitu kigumu kwa sababu tangu nianze kucheza kamari, sikuwahi kuona hata watu wanaonizunguka wakishinda..."
Business
Vijana walio mtaani, waliohitimu ngazi mbalimbali za elimu, wanafunzi wa vyuo vikuu na hata sekondari wamenasa kwenye michezo hii wakiamini ndiyo njia ya haraka ya kufanikiwa.
"Wanaume ndio washiriki wakubwa wa michezo ya kamari. Inahusishwa na ukatili wa kudhuru mwili, ukatili wa kingono, hisia na ukatili wa kiuchumi, kutokana na madhara ya kiakili wanayoyapata washiriki...
Business
Main
People and Events
Travels
World
FIVE AFRICAN PRESIDENTS HAILED AS UNSELFISH ON VISA-FREE TRAVEL FOR AFRICANS
FIVE African countries – Benin, Gambia, Kenya, Rwanda, and Seychelles – are setting the tone and walking the talk with a move that will allow all Africans to travel...
LICHA ya sheria kali dhidi ya uvuvi haramu ya mwaka 2018 iliyofanyiwa marekebisho mbalimbali mwaka 2020, serikali imeshindwa kuzuia kosa hili. Sheria inasema: “Mvuvi atakayekamatwa amevua samaki kwa mabomu/baruti,...
Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza kamari maisha yanaendelea.
President Hichilema said: "Adding value to our mining will accelerate economic development, create employment and business opportunities along the value chain and I am very keen to see joint...
Naweza kukushuhudia kuwa kazi ya uvuvi haramu imeweza kuniharakishia maisha kwani nilioa, nikanunua gari na kujenga angalau nyumba ndogo...
Afya
Business
Economy
Main
People and Events
Tourism
‘Chumvi ya serikali’ yapukutisha mifugo Ngorongoro
Familia ya David Kondoro ya Kijiji cha Oloirobi Kata ya Ngorongoro ilipoteza ng'ombe 35, kati ya 40. Pichani, familia yake inashuhudia mabaki ya mifupa ya mifugo yao iliyokufa...
Qatar ndiyo walitakiwa kujifunza Tanzania kuhusu kilimo cha mbogamboga na matunda. Eneo lenye maji Tanzania ni ni 6.4% wakati Qatar ni 0.8%. Kilimo cha umwagiliaji nani alitakiwa kuwa mwalimu?