Wadau wa haki za binadamu wamesema hawaridhiki na taarifa ya ripoti ya Tume ya Rais kuhusu uhamaji wa hiari kwa madai kuwa imeficha ukweli na ukatili unaofanyika katika makazi...
Author: Rehema Ibrahim
WANASIASA machachari wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo na Yeriko Nyerere, kesho wanatarajiwa kuchuana vikali na wazungumzaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na ACT-Wazalendo katika...
MGOMBEA Ubunge wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Jimbo la Kibamba, Edward Kinabo, amesema mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki hana jipya kwa jimbo la...
WAKATI kukiwa na kila dalili kuwa Edward Kinabo atawania ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika uchaguzi mkuu mwaka huu, hujuma dhidi yake...
EDWARD Kinabo, Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma, wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amesema chama hicho kikiingia madarakani kitatumia “sera ya kuthaminisha ardhi kuwa hisa”...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema chama hicho kikiingia madarakani kitaongeza uwekezaji wa kimkakati katika sekta nzima ya kilimo ili kupambana na hali...
CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema Tanzania inapoteza kiasi cha shilingi trilioni 4 kila mwaka katika madini kwasababu ya kukithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi, magen̈do na uhamishaji haramu...
Former Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Makonda has been named in a new series of allegations linked to the disappearance of three young women Caren Cyprian, Josepha Paul,...
LICHA ya sheria kali dhidi ya uvuvi haramu ya mwaka 2018 iliyofanyiwa marekebisho mbalimbali mwaka 2020, serikali imeshindwa kuzuia kosa hili. Sheria inasema: “Mvuvi atakayekamatwa amevua samaki kwa mabomu/baruti,...
Naweza kukushuhudia kuwa kazi ya uvuvi haramu imeweza kuniharakishia maisha kwani nilioa, nikanunua gari na kujenga angalau nyumba ndogo...
