TANZANIA imepoteza wapiganaji wake – wenye vyeo vya juu jeshini – mabrigedia jenerali watano – ndani ya wiki mbili kutokana na kile kinachoelezwa na serikali kuwa ni changamoto ya...
Tag: John Magufuli
Katika uchambuzi huu, Raia Mzalendo anazungumzia baadhi ya matukio na vituko alivyoshuhudia kutoka kwa wawekezaji wa Kichina ambao kwa mtazamo wake ni mabeberu wa zama mpya na wahujumu mambo...
TANZANIA and Burundi are seemingly the only African countries not listed in the first interim distribution of the COVID-19 vaccines to be released by the COVAX Facility – a...
Afya
Politics
John Magufuli: A science teacher who decries science in fighting Coronavirus. What has gone wrong?
DETRIMENTAL? Devastating? Disastrous? Careless? Bullying? Narcissistic? Sadistic? Which word exactly fits the description of the character and statements of Tanzania’s President John Magufuli in his handling of the COVID-19...
IMEDHIHIRIKA sasa kwamba Rais John Magufuli amekuwa anapotosha Watanzania katika mambo mengi ya msingi. Upotoshaji wake unakera sana kwenye sekta za afya, uchumi, utawala wa sheria, haki za binadamu,...
A new wave of Coronavirus infection in Tanzania has sparked alarm and new stance that forced the Tanzania Catholic Episcopal Conference (TEC) to issue an official statement to its...
NAOMBA kuchangia mjadala kuhusu hatua ya Rais John Magufuli kuhamishia Ikulu nyumbani kwake Chato- kinyemela. Ni makosa makubwa. Ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi wa nchi kuhamishia Ikulu...
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Afya
Education
Politics
Serikali yalazimisha Shule ya Kimataifa Moshi ikanushe taarifa kuhusu tishio la Corona
SERIKALI ya Tanzania, kupitia vyombo vya usalama, imelazimisha uongozi wa Shule ya Kimataifa ya Moshi (ISM) kukanusha taarifa ya kufungwa kwa shule hiyo kutokana na kukumbwa na ugonjwa wa...
Corruption
Economy
Politics
Katika hili la kiwanda cha maziwa, Magufuli atakabwa na mgogoro wa maslahi. Apewa ng’ombe, bado “mke wa Kinyarwanda.”
WIKI hii Rais John Pombe Magufuli (JPM) yuko Mkoani Kagera. Alianzia Bukoba na sasa yuko mapumzikoni “nyumbani” kwake kwingine, Karagwe. Ziara hii imeibua mengi na itaendelea kuibua mengine, hata...