Environment
Justice
Main
Politics
Wananchi KIA waishika pabaya serikali wakipigania ardhi yao, fidia
"Ni jambo la kushangaza leo wanasema sisi ni wavamizi, si kweli. Haya anayosema msemaji wa serikali juu ya ardhi ya vijiji vya KIA ni upotoshaji tu."