HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, leo wamepandishwa kizimbani kujibu mashitaka sita yakiwemo ujambazi wa kutumia silaha, utakatishaji...
People and Events
LEO baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kufikishwa mahakamani Arusha kujibu tuhuma za uhalifu zinazomkabili, mwandishi wa habari na mchambuzi Bollen Ngetti ameandika uchambuzi...
JANA tarehe 1 Juni 2021, Spika wa Bunge Job Ndugai alimwamuru mbunge mmoja wa kike, Condester Sichalwe (Momba), aondoke kwenye ukumbi wa Bunge kwa maelezo kuwa hakuvaa nguo za...
HILI NI ANDIKO LA PILI KATIKA MFULULIZO WA MAKALA ZA ndugu Bollen Ngetti KUHUSU KILE ANACHOITA GENGE OVU LILILOTUMIWA NA UTAWALA ULIOPITA KUTESA, KUTEKA, KUFILISI, KUUMIZA NA KUUA RAIA...
GENDER activists in Tanzania are not impressed by President Samia Suluhu Hassan’s most recent appointment of 33 regional commissioners of whom only four are women, a quick vox pop...
Justice
People and Events
Politics
World
Zara Kay vows never to return to Tanzania on security grounds
ZARA Kay, an Australian citizen and human rights activist, has vowed not to return to Tanzania, claiming the East African country is not safe for her at the moment....
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anajiandaa kufanya mabadiliko makubwa ya kisera, kisheria, kitaasisi na kiuongozi katika safu ya watendaji wake, na kwamba katika kutekeleza majukumu hatabagua watu bali atazingatia...
KATIKA mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na wazee wa Jiji la Dar es Salaam unaofanyika leo, washiriki wamelazimika kuvaa barakoa ili kujinga na maambukuzi ya mlipuko wa ugonjwa...
KIJIJI alikozaliwa, kukukulia na kuanza kusomea Dk. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, hakina mawasiliano ya simu, radio wala barabara zinazopitika wakati wa mvua. Dk Mpango ndiye Makamu wa Rais wa...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake iko tayari kubadili vifungu vya sheria ambavyo vinakwanza ustawi na maendeleo ya Tanzania. Mbali na kauli hiyo, Rais Samia pia amesema: “Tanzania...