IMETHIBITISHWA kuwa Balozi Dk. Pius Ng’wandu sasa atazikwa kesho, Jumatano, nyumbani kwake Makabe, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Uamuzi huo umetokana na wosia alioacha Dk. Ng’wandu,...
Tag: Tanzania
MGOGORO wa kifamilia umezuka baada ya kifo cha aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Dk. Pius Ng’wandu, kuhusu mahali yatakapofanyika mazishi yake. Dk. Ng’wandu aliyewahi kuwa waziri katika serikali...
HATUA ya chama kikuu cha upinzani Zanzibar kuridhia kuingia katika serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na Dk. Hussein Mwinyi imeibua maswali na maoni yanayokinzana kutoka kwa wadadisi na...
Education
Politics
District commissioner’s brutal corporal punishment further taints Magufuli’s administration
PRESIDENT John Magufuli’s leadership style of condoning oppression and his disregard for rule of law are blamed for inculcating a sense of narcissism among his aides, becoming the face...
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi, ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Iringa, ameonekana katika video moja akicharaza viboko watu wazima kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kitendo hicho cha...
THERE are all significant signs that Tanzania may soon have a huge number of Covid-19 victims as three major hospitals in the country’s economic capital, Dar es Salaam, are...
TOVUTI rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hadi leo Jumamosi Desemba 12, 2020 inaonyesha kuwa serikali ina mawaziri watano tu. Mawaziri wengine hawajawekwa katika orodha hiyo ya...
RAIS John Magufuli ameanza kusahau kauli yake juu ya “umahiri” wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao alisema wanafaa kuwa mawaziri. Sasa anateua mawaziri na manaibu wao nje...
Education
Politics
Sakata la Shule ya St. Jude laibua hoja ya sheria mbaya za kodi na athari zake kwa elimu, afya
SHERIA mbaya ya kodi nchini Tanzania kwa mashirika na taasisi zisizotengeneza faida, huenda ikaendelea kukwamisha ustawi wa jamii kupitia kada za elimu na afya. Taasisi, mashirika ya dini na...