KIJIJI alikozaliwa, kukukulia na kuanza kusomea Dk. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, hakina mawasiliano ya simu, radio wala barabara zinazopitika wakati wa mvua. Dk Mpango ndiye Makamu wa Rais wa...
Author: Shima Koku
MAOMBOLEZO ya msiba wa Rais Dk. John Pombe Magufuli yameua watu 45 ambao walikanyagwa na umati, huku wengine wakikosa pumzi wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo....
KWA kawaida, mtu anapofariki dunia, wanaobaki hai hupokea msiba kwa namna tofauti kwa kutegemea jinsi marehemu alivyogusa maisha yao. Wapo watakaoguswa zaidi na tukio la kufariki kwa mtu wa...
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema kifo cha Rais John Pombe Magufuli kinatukumbusha thamani ya maisha ya mwanadamu. Mbowe aliyasema hayo jana,...
People and Events
Politics
Msiba wa Magufuli: Watanzania wakesha mitandaoni, TBC washindwa kupiga Wimbo wa Taifa
DAKIKA chache baada ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, kutangaza kifo cha Rais John Pombe Magufuli, Watanzania waliibuka na kuanzisha mijadala kadhaa kupitia mitandao ya kijami, huku wengine...
CHAMA Kikuu cha Upinzani Zanzibar, ACT Wazalendo, kimeitaka serikali ya Tanzania iseme nani anaongoza Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika wakati huu wa hali tete kiafya ya Rais John...
TANZANIA is losing track in basketball development, a once the fastest-growing sport in the East African country. Now hardly being recognizable leagues or talents. Basketball popularity reached its crowning...
IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
MBUNGE wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni daktari kitaaluma na waziri wa zamani wa Utalii, amesema kuna umuhimu wa Tanzania kukubali chanjo kama njia ya kupambana na...
Afya
Politics
Religion
“Uasi wa maaskofu” wasaidia kubadili tabia za Watanzania katika kujikinga na Corona
KATIKA wiki mbili hizi, tayari kuna kila dalili kwamba Watanzania wengi, hasa wakazi wa Dar es Salaam, wamezinduka na kuanza kuzingatia njia za kujikinga na maambukizi ya janga la...