VYUMBA vya kuhifadhia maiti katika hospitali za Muhimbili, Ilala na Mwananyamala jijini Dar es Salaam vimefurika. Taarifa hizo zinahusu pia Hospitali ya Mount Meru jijini Arusha. Uchunguzi wa siku...
Tag: Tanzania
MBUNGE wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni daktari kitaaluma na waziri wa zamani wa Utalii, amesema kuna umuhimu wa Tanzania kukubali chanjo kama njia ya kupambana na...
NIMEMSIKILIZA Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu....
VYOMBO vya dola vimemnyanyasa Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, kwa siku tatu mfululizo sasa kutokana na deni ambalo anadaiwa na Kampuni ya Ujenzi ya...
Education
Politics
Siasa za somo la historia ya Tanzania zaleta ukakasi. Mitaala mipya kuanza Julai 2021
WANAZUONI, walimu na wachambuzi kadhaa wa masuala ya elimu wameonya kuhusu historia ya Tanzania kupotoshwa kwa malengo ya kisiasa. Tayari Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Elimu, Prof....
VIONGOZI wa taasisi, mashirika ya umma na idara za serikali wamekatazwa kutangaza chochote kuhusu tahadhari juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa Corona – “kwa hofu ya kuleta taharuki.” Yeyote...
WAKATI Japan ikizuia raia wake kusafiri Tanzania kwa sasa, Uingereza imewataka wasafiri wote wanaotoka au kupitia Tanzania na nchi nyingine zilizowekwa katika “kundi la hatari” kufanya malipo ya awali...
Afya
People and Events
Politics
Corona claims five retired army generals in Tanzania within two weeks
FIVE brigadier generals in Tanzania have lost lives due to Coronavirus in the span of two weeks, despite President John Magufuli’s denialism of the pandemic. Magufuli has been insisting...
THE borrowing spree of Tanzania under President John Magufuli is weighing down the East African country by swelling public debt and could possibly be engulfed in a “responsibility crisis.”...
TANZANIA imepoteza wapiganaji wake – wenye vyeo vya juu jeshini – mabrigedia jenerali watano – ndani ya wiki mbili kutokana na kile kinachoelezwa na serikali kuwa ni changamoto ya...