Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 31 Januari 2022. ……………………………………………………………………………………………. ……………………………………………………………………………………….. Katika maswali 401 yaliyoulizwa na Wakili Peter Kibatala, shahidi Luteni Dennis Urio amejibu maswali 360 tu....
Tag: Kesi ya ugaidi
MALYA: Adamoo na Ling’wenya mlipoachana Morogoro walikwenda wapi? SHAHIDI: Walikwenda Dar es Salaam. MALYA: Kielelezo D1, katika maelezo aliyoandika Kingai anasema alimuhoji Ling’wenya akakiri. Soma hapa. SHAHIDI: “Luteni Urio...
WAKILI NASHON: Wakati ule unampigia unamuuliza ‘upo tayari, kuna kazi ya ulinzi,’ wewe moyoni ulikuwa unajua kuwa Mbowe hahitaji walinzi bali ni vijana wa kuambatana naye? SHAHIDI: Ni sahihi....
Kama ilivyoletwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 26 Januari 2022. Jaji kaingia mahakamani. Kesi inatajwa. Wakili wa serikali: Mheshimiwa Jaji Ikikupendeza naitwa wakili Wa Serikali Robert Kidando nipo...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 24 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani saa 4 na dakika 55 Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa,...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 21 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani muda huu saa 4 na dakika 4Wakili wa Serikali Robert Kidando: Ikupendeze Mheshimiwa Jaji naitwa...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 20 Januari 2022. Jaji ameingia mahakamani muda huu saa 4 kasoroboKesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 19 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 Kasoro Dakika 2Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam...
Kama ilivyowasilishwa na maripota raia BJ na LS leo 18, Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani, Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 17, Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...