UJIO wa Messi katika klabu ya Paris Saint-Germain, unatarajiwa kuwa na faida kubwa si tu kisoka bali pia kibiashara klabuni hapo na nje ya klabu. Hii inakuja kama habari...
Sports
BAADA ya Lionel Messi kujiunga na PSG, athari, msukumo na ushawishi alionao katika ulimwengu wa soka barani Ulaya vimejidhihirisha kuwa mkubwa sana kuwahi kutokea kwani tangu nguli huyo alipojiunga...
Jumapili iliyopita, Messi alionekana akimwaga machozi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari na kukiri kuwa haikuwa nia yake kuondoka klabuni Barcelona, lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo...
KABLA hatujaanza msimu mwingine wa soka la kulipwa barani Ulaya, kumekuwa na vuta nikivute katika dirisha la usajili hasa hizi dakika za mwisho. Ikiwa zimebaki siku 4 tu ligi...
TOFAUTI na matarajio ya wengi, kilichodhaniwa kuwa hakiwezekani, hatimaye kimewezekana! Leo hii majira ya jioni, klabu ya Barcelona imetangaza rasmi kuwa mshambuliaji wake mkongwe Leo Messi, hatarejea tena na...
MANCHESTER City watalazimika kupanda dau la Euro miloni 40 zaidi ili kufikisha dau la Euro milioni 160, lililowekwa na Spurs kama bei ya mshambuliaji wake nyota, Harry Kane 27....
WACHEZAJI watatu wa timu ya soka ya taifa ya England, kwa siku tatu mfululizo, wameendelea kutukanwa, kudhihakiwa na kudharauliwa – kwa rangi ya ngozi yao – wakisakamwa kwamba “wameikosesha...
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoathirika kwa uamuzi wa kugomea sera ya uraia pacha. Wanasiasa wa chama tawala wamekuwa mstari wa mbele kupinga mabadiliko yoyote kisera ambayo yangenufaisha Watanzania...
KLABU ya soka ya Barcelona ‘haiwezi kuwasajili’ rasmi nyota wake wapya kutokana na wakati mgumu wa kifedha inaoupitia. Klabu hiyo ina tatizo kubwa la kifedha na imeripotiwa kuwa mpaka...
MWANASOKA chipukizi wa Tanzania, Kelvin John – maarufu kwa jina la kisoka ‘Mbappe,’ sasa amejiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. SAUTI KUBWA ambayo imekuwa ikimfuatilia kwa...