MOHAMED Salah, mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, ambaye timu yake itakutana na Real Madrid katika mechi ya fainali za klabu bingwa ulaya (UEFA), amesisitiza kwamba si vema watu kutazama mechi kama vile ni mchuano kati yake na Christian Ronaldo, mshambuliaji wa Madrid. Akizungumza na waandishi wa habari jijini London...
Sports
MAGOLI matatu ya Lionel Messi yamewezesha Barcelona kubeba kombe la Ligi Kuu ya Hispania kwa mara ya tatu ndani ya miaka minne mfululizo. Ikicheza ugenini, Barcelona ilifunga magoli manne dhidi...