I arrived at Stiftsgården in Rättvik this week with a sense of familiarity – but also curiosity. It was my second time there, after the Global Epiphany Festival in...
Media
For quite some time, I have been observing the political situation in Tanzania and its impact on the country’s future. As a journalist, I have a role to play....
Business
Main
Media
People and Events
FROM AGA KHAN TO ROSTAM AZIZ: A NEW ERA FOR EAST AFRICA’S MEDIA POWER
On a quiet afternoon in Nairobi today March 11, 2026, in a room filled with journalists, investors and leaders of the communications sector, Tanzanian businessman Rostam Aziz spoke to...
NCHINI Tanzania kuna kitu kinaitwa: Sheria ya Huduma za Habari. Ilitungwa mwaka 2016. Sheria hii ndiyo mzazi wa ITHIBATI; ule uhakikisho wa serikali kuwa umekubaliwa (au umetambuliwa, umethibitishwa, umeidhinishwa,...
NIMESOMA makala nne za Ndimara Tegambwage juu ya Ithibati na waandishi wa habari. Naendelea kujiridhisha kuwa huyu ni mwandishi wa viwango. Makala ya kwanza: Ithibati na Press Card Kidijiti;...
TUSEMEZANE. Kitambulisho au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi. Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa...
JE, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja...
MWANDISHI mkongwe, Ndimara Tegambwage, amezua mjadala mzito mitandaoni kupitia makala yake fupi: “Tabasamu la Waandishi wa Habari: Ni la Moyo au Shuruti?” akichambua tabasamu linaloonekana usoni mwa waandishi wa...
JUZIJUZI niliandika ninavyoona tabasamu kwenye nyuso za waandishi wa habari wanaokabidhiwa Press Card kidijiti. Tabasamu? Sura iliyojaa furaha, bashasha na uchangamfu. Ni kung`ara na kuwaka uso kwa furaha bila...
