Naweza kukushuhudia kuwa kazi ya uvuvi haramu imeweza kuniharakishia maisha kwani nilioa, nikanunua gari na kujenga angalau nyumba ndogo...
Business
Afya
Business
Economy
Main
People and Events
Tourism
‘Chumvi ya serikali’ yapukutisha mifugo Ngorongoro
Familia ya David Kondoro ya Kijiji cha Oloirobi Kata ya Ngorongoro ilipoteza ng'ombe 35, kati ya 40. Pichani, familia yake inashuhudia mabaki ya mifupa ya mifugo yao iliyokufa...
Qatar ndiyo walitakiwa kujifunza Tanzania kuhusu kilimo cha mbogamboga na matunda. Eneo lenye maji Tanzania ni ni 6.4% wakati Qatar ni 0.8%. Kilimo cha umwagiliaji nani alitakiwa kuwa mwalimu?
Afya
Business
Corruption
Main
Media
People and Events
Sports
Kubeti: Jinamizi linalotafuna vyeti, ndoa, pesa, ubongo, na uhai
- Dar es Salaam yatia fora kwa watoto kucheza kamari
- Serikali, wazazi, viongozi wa dini wabebeshwa mzigo
- Sheria inasema kamari ni mchezo wa burudani, si ajira
Ifuatayo ni sehemu ya nne na ya mwisho ya uchambuzi wa kitaalamu juu ya uchumi wetu katika muktadha wa mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World ya...
Hii ni sehemu ya tatu ya barua hii, ikijadili muktadha mpana wa kiuchumi kwa kutazama suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai. Endelea. UCHUMI NA MAENDELEO...
Hii ni sehemu ya pili ya barua hii, ikianzia ilipoishia sehemu ya kwanza kuhusu mkataba wa bandari katika muktadha wa “biashara kama msingi wa uchumi.” Endelea. SHERIA KAMA NGUZO...
YAHUSU BANDARI, UWEKEZAJI NA HATIMA YA UCHUMI WETU. Mheshimiwa Rais, Amani iwe Nawe! Ni imani yangu kuwa barua hii inakukuta ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia...
Business
Economy
Main
Politics
MASWALI MAGUMU YA IBRAHIM JEREMIAH, MKULIMA.WA SONGEA, KUHUSU MKATABA TATA WA BANDARI ZA TANZANIA
YAFUATAYO ni maswali muhimu yaliyoulizwa na “mkulima wa Songea,” Ibrahim Jeremiah, kuhusu mkataba tata wa bandari za Tanzania, ambao umeleta kelele kila kona. 1. Ni utaratibu gani ulitumika kuipa...
Tunahitaji akiba ya fedha za kigeni pale BoT ili kuendelea kudumisha ukwasi ikiwa itatokea mdororo wowote wa kiuchumi. Hizi siyo fedha za kujenga madarasa kama ambavyo Mwigulu analieleza bunge...