SPECULATIONS are rife on social media that Tanzania’s President John Magufuli is sick and hospitalised. There is no official statement about his apparent condition, but circumstantial evidences in the...
Afya
KAMPUNI kubwa za ndege duniani zinapanga kuanzisha utaratibu wa kila abiria kuonyesha kuwa na kadi ya chanjo ya ugonjwa wa Corona – akiwa hana maambukizi – kabla hajapanda ndege....
IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
Afya
People and Events
Politics
Profesa Lumumba asema msimamo wa Magufuli kuhusu Corona ni ushirikina
PROFESA Patrick Lumumba, mwanazuoni wa Kenya ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa swahiba na mtetezi mkubwa wa Rais John Magufuli, sasa amemgeuka. Ametofautiana naye katika msimamo juu ya maambukizi ya...
IT is President John Magufuli’s about-turn now, althougt it might be quite late and a lot of lives lost due to negligence and adamance. Tanzania’s President who, in the...
AS Tanzanians, on instruction from their president, keep relying on herbal concoction in the battle against COVID-19, and as President John Magufuli still rejects vaccine from “the white man,”...
NAMFAHAMU Prof Benno Ndulu, Gavana wa Benki Kuu Mstaafu aliyeaga dunia majuzi. Nilikuwa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alinisikiliza na nilimsikiliza. Sasa ametutoka. Katika mengi, yeye ni mhanga wa...
VYUMBA vya kuhifadhia maiti katika hospitali za Muhimbili, Ilala na Mwananyamala jijini Dar es Salaam vimefurika. Taarifa hizo zinahusu pia Hospitali ya Mount Meru jijini Arusha. Uchunguzi wa siku...
MBUNGE wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni daktari kitaaluma na waziri wa zamani wa Utalii, amesema kuna umuhimu wa Tanzania kukubali chanjo kama njia ya kupambana na...
UCHAMBUZI HUU MFUPI UMEANDIKWA NA Dk Chris Cyrilo NA KUSAMBAZWA MITANDAONI LEO KAMA SEHEMU YA MJADALA ULIOSABABISHWA NA RAIS JOHN MAGUFULI KATIKA HOTUBA YAKE KWA WAAMINI BAADA YA MISA...