MAKAMU wa Rais Samia Suluhu ameongeza neno kuhusu uvumi unaoendelea juu ya hali ya afya ya Rais John Magufuli, akidokeza kuwa kuumwa umwa ni jambo la kawaida. Samia ametoa...
Afya
Afya
Justice
Politics
Majaliwa ashutumiwa kwa kuwaiga Bashite, Musiba kutisha ndugu wa wakosoaji waishio ughaibuni
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, na Waziri wa Sheria na Katiba, Mwigulu Nchemba, wameingia katika kashfa mpya ya kutishia maisha ya baadhi ya Watanzania wanaohoji hali ya afya...
INASEMEKANA kuwa picha moja ni sawa na maneno 1,000. Hii hapa inazungumza maneno yapatayo 5,000. Kushoto ni John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania tangu 2015. Tangu Juni 2020 hadi...
Afya
People and Events
Politics
“Usalama” wafanikiwa kuhadaa umma na kukuza uvumi wa afya ya Magufuli
KWA sehemu kubwa, Idara ya Usalama Taifa (TISS) imefanikiwa kuhadaa Watanzania na dunia kuhusu hali ya kiafya ya Rais John Magufuli huku ikivuta muda apone na aonekane hadharani. Taarifa...
SPECULATIONS are rife on social media that Tanzania’s President John Magufuli is sick and hospitalised. There is no official statement about his apparent condition, but circumstantial evidences in the...
KAMPUNI kubwa za ndege duniani zinapanga kuanzisha utaratibu wa kila abiria kuonyesha kuwa na kadi ya chanjo ya ugonjwa wa Corona – akiwa hana maambukizi – kabla hajapanda ndege....
IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
Afya
People and Events
Politics
Profesa Lumumba asema msimamo wa Magufuli kuhusu Corona ni ushirikina
PROFESA Patrick Lumumba, mwanazuoni wa Kenya ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa swahiba na mtetezi mkubwa wa Rais John Magufuli, sasa amemgeuka. Ametofautiana naye katika msimamo juu ya maambukizi ya...
IT is President John Magufuli’s about-turn now, althougt it might be quite late and a lot of lives lost due to negligence and adamance. Tanzania’s President who, in the...
AS Tanzanians, on instruction from their president, keep relying on herbal concoction in the battle against COVID-19, and as President John Magufuli still rejects vaccine from “the white man,”...
