PAMOJA na sababu nyingine zilizomfukuzisha Mwigulu Nchemba uwaziri wa mambo ya ndani, kubwa inayosemekana kumkasirisha zaidi Rais John Magufuli ni barua ya waziri kutengua zuio la idara ya uhamiaji...
Main
Askari wa Rwanda walio Mererani hawalindi ukuta wa madini, bali wanalinda nyumba ya Kagame, na siri zake na Magufuli URAFIKI wa karibu kati ya Rais John Magufuli na...
Mabeyo na Dk. Kipilimba wamekerwa na rais kujaza Wanyarwanda katika idara ya usalama; Sirro naye anahaha kuondoa polisi kwenye mikoni michafu ya Bashite
Hii ni orodha ya kwanza ya wananchi 68 waliopotezwa na vyombo vya dola katika eneo la Kibiti, Mkuranga, Tanzania. Imewasilishwa na Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, leo bungeni...
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...
Na Mwandishi wetu KUTENGWA kwa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kumeleta fukuto na mjadala mkali...
TAYARI kuna jambo moja kubwa ambalo Rais John Magufuli amefanana na Mobutu Seseseko, dikteta wa zamani wa Zaire, ambayo sasa inaitwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Katika utawala wake...