Some have reached the extent of selling their body parts such as kidneys and traffic narcotic drugs. That is how bad the situation in Tanzania is getting.
Main
Breaking News
Main
Politics
World
Tanzania fires EU ambassador over his passionate appeal to human rights
TANZANIA President John Magufuli has ordered the Head of EU Delegation to Tanzania, Roeland van De Geer, to leave the country immediately. Sources close to State House told SAUTI...
Naomba na hili la maafa nilizungumzie kidogo kabla halijazikwa na maajabu mengine ya nchi yetu. Nadhani Mheshimiwa Rais wetu ana tatizo kubwa na misiba ya kitaifa ambalo wanaofahamu zaidi...
Merlin Komba, msajili wa vyama wa wizara ya mambo ya ndani, alikuwa anapigwa kama mpira huku na huku. Ikulu ilimwagiza kazi, akaifanya, ikaleta msukosuko kwa umma. Mwigulu Nchemba akiwa waziri...
PAMOJA na sababu nyingine zilizomfukuzisha Mwigulu Nchemba uwaziri wa mambo ya ndani, kubwa inayosemekana kumkasirisha zaidi Rais John Magufuli ni barua ya waziri kutengua zuio la idara ya uhamiaji...
Askari wa Rwanda walio Mererani hawalindi ukuta wa madini, bali wanalinda nyumba ya Kagame, na siri zake na Magufuli URAFIKI wa karibu kati ya Rais John Magufuli na...
Mabeyo na Dk. Kipilimba wamekerwa na rais kujaza Wanyarwanda katika idara ya usalama; Sirro naye anahaha kuondoa polisi kwenye mikoni michafu ya Bashite
Hii ni orodha ya kwanza ya wananchi 68 waliopotezwa na vyombo vya dola katika eneo la Kibiti, Mkuranga, Tanzania. Imewasilishwa na Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, leo bungeni...
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini, amesema zaidi ya Watanzania 380 wa Kibiti wamepotezwa katika mazingira yenye utata, na ametuhumu serikali kwa uhalifu huo. Kwa sababu hiyo, ametaka Bunge...
Na Mwandishi wetu KUTENGWA kwa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kumeleta fukuto na mjadala mkali...