- Wachambua uchumi wa pamba, dhahabu, bei ya petroli, dizeli
- Mkataba wa bandari wazidi kupingwa
Main
HATIMAYE Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata kura moja katika Jimbo la Geita Vijijini, inayounga mkono msimamo wa chama hicho unaokubaliana na mkataba wa uwekezaji wa bandari na maeneo mahsusi...
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameitaka serikali ikomeshe mara moja mauaji ya raia yanayofanywa na vyombo vya usalama kwenye maeneo yaliyo jirani...
- Wananchi wakataa mkataba wa bandari
FREEMAN MBOWE, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameguswa na utaratibu wa wanachama wa Chama hicho, Kata ya Kasunzu, jimbo la Buchosa, mkoani Geita, wa...
- Wasema: "hatutaki bandari zetu ziuzwe"
- Mbowe awaongoza kufanya uamuzi wa wazi
- Asema dhahabu ni fursa, lakini watawala wameigeuza mkosi kwa wananchi
- Alia na mikataba mibovu, ufisadi vinavyotesa wananchi
Ifuatayo ni sehemu ya nne na ya mwisho ya uchambuzi wa kitaalamu juu ya uchumi wetu katika muktadha wa mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World ya...
Hii ni sehemu ya tatu ya barua hii, ikijadili muktadha mpana wa kiuchumi kwa kutazama suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai. Endelea. UCHUMI NA MAENDELEO...
- Ni kuhusu ubaguzi wanaofanyiwa wananchi Kagera.
- Agusia rushwa katika mkataba wa bandari
- Wenje, Pambalu 'wazaa na CCM' Wilayani Kyerwa