MWANDISHI wa habari Godfrey Ng’omba, ripota wa Milard Ayo kutoka Arusha, amevamiwa na askari polisi leo wakati akirekodi tukio la wananchi kufunga Barabara ya Moduli katika eneo la Mbuyuni,...
Author: Philip Kana
Environment
Justice
Main
Politics
Wananchi KIA waishika pabaya serikali wakipigania ardhi yao, fidia
"Ni jambo la kushangaza leo wanasema sisi ni wavamizi, si kweli. Haya anayosema msemaji wa serikali juu ya ardhi ya vijiji vya KIA ni upotoshaji tu."
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro limegoma kupisha mpango wa matumizi bora wa ardhi wa wilaya hiyo kwa kile walichoeleza kuwa hauna maslahi kwa wananchi kwani...
Justice
People and Events
Security
Familia yatoa kauli kuhusu uchunguzi wa mwili wa mlinzi aliyeuawa na mfanyabiashara wa madini Arusha
SAKATA la mfanyabiashara wa madini, Pendaeli Mollel, anayetuhumiwa kumuua Steven Jimmy (mlinzi) akidai kuwa alimwibia pampu ya maji, limechukua sura mpya baada ya ndugu wa marehemu kudai uchunguzi unaonyesha...
LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ametiwa hatiani kwa unyang’anyi wa kutumia silaha na amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Katika hukumu hiyo iliyotolewa na Hakimu...
MCHEZO mchafu wa kuikosesha mapato Serikali ya Tanzania umeibuka katika mnada wa bidhaa unaondeshwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa njia ya mtandao (online auction). Mbali na kukosa mapato,...
Justice
People and Events
Politics
Mahakama zaamuru Musiba awalipe Prof. Tibaijuka, Fatma Karume bilioni 8 kwa kuwakashifu.
MAHAKAMA nchini Tanzania zimemuamuru Cyprian Musiba, ambaye amekuwa anajiita “mwanaharakati huru,” kulipa fidia ya Shilingi bilioni 7.58 baada ya kumkuta na hatia ya kukashfu, kudhalilisha na kusema uongo dhidi...
LOCAL and international pressure, mainly through the “Twitter Republic” – exerted by human rights defenders, politicians and analysts – has been termed as the cause behind the release of...
WAANDISHI wa habari watatu wanaofuatilia na kuandika zaidi habari za aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, wanaoendelea kushikiliwa mahabusu, wametishiwa...
RAWAN Dakik, the first Tanzanian woman and the youngest African daughter to climb Mt. Everest, has said that her achievement to reach the world’s highest summit was facilitated by...