AWAMU ya kwanza ya uongozi wa nchi yetu, chini ya Mwl. Julius Nyerere, ilichora ramani ya maendeleo kwa kuzingatia siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Kupitia sera hiyo, mamia ya...
Tag: Tanzania
Entertainment & Arts
Politics
SHAIRI LA MIAKA 60 YA UHURU: MIKAKATI NA UCHUMI, KATIBA KWANZA, UCHUMI BAADAYE
Tangu tupate uhuru, kwa sasa miaka sitini,Mipango tunashukuru, imekuwa milaini,Kusherehesha uhuru, mjini na vijijini,Imetimia sitini, tangu tupate Uhuru. Mpango miaka mitano, Nyerere aliiweka,Mitatu ya mapatano, kuanza kueleweka,Kwenye mawasiliano, kilimo...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ kutoka mahakamani tarehe 01 Desemba 2021. Mahakama inaanza Sasa Jaji ameshaingia Mahakamani Saa 4 na Dakika 02 WAKILI WA SERIKALI Robert Kidando: Mheshimiwa...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ, leo tarehe 30 Novemba 2021. Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 na Dakika 12 ya Tarehe 30 November 2021 Kesi namba 16...
Business
Energy
Politics
Tatizo la Umeme: Tanzania yawa kichwa cha mwendawazimu kwa miaka 30 mfululizo
MGAWO wa umeme umeendelea kuathiri maisha ya Watanzania, ikiwemo mahitaji binafsi ya nishati hiyo katika ngazi ya familia, uzalishaji bidhaa na huduma, hali inayotishia hatma ya ukuaji uchumi wa...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo tarehe 25 Novemba 2021. Jaji ameingia Kesi namba 16/2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa Mahakamani Muda...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo tarehe 22 Novemba 2021. Jaji ameingia mahakamani Wakili wa Serikali Pius Hilla anawatambulisha mawakili wa Jamhuri Esther Martin Nassoro Katuga Jenitreza Kitali...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo tarehe 18 Novemba 2021. Saa 03:33 asubuhi, Jaji ameshaingia Mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya Jamhuri dhidi Khalfani Bwire, Adam...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo tarehe 17 Novemba 2021. Jaji ameshaingia mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed...
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Mawakili wanyukana siku nzima juu ya diary aliyokutwa nayo shahidi kizimbani
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo tarehe 15 Novemba 2021. Jaji ameingia Mahakamani. Sasa ni saa 4:05. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya Jamhuri dhidi ya Khalfani...