IT is President John Magufuli’s about-turn now, althougt it might be quite late and a lot of lives lost due to negligence and adamance. Tanzania’s President who, in the...
Tag: Tanzania
WAHAYA na Wanyambo wana usemi kwamba “mtoto atukanaye wazee hatukani mtu mmoja.” Usemi huu, ambao pia hutumiwa naWasubi na Wazinza (waishio katika maeneo ya Wilaya za Biharamulo na Chato)...
AS Tanzanians, on instruction from their president, keep relying on herbal concoction in the battle against COVID-19, and as President John Magufuli still rejects vaccine from “the white man,”...
NAMFAHAMU Prof Benno Ndulu, Gavana wa Benki Kuu Mstaafu aliyeaga dunia majuzi. Nilikuwa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alinisikiliza na nilimsikiliza. Sasa ametutoka. Katika mengi, yeye ni mhanga wa...
VYUMBA vya kuhifadhia maiti katika hospitali za Muhimbili, Ilala na Mwananyamala jijini Dar es Salaam vimefurika. Taarifa hizo zinahusu pia Hospitali ya Mount Meru jijini Arusha. Uchunguzi wa siku...
MBUNGE wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni daktari kitaaluma na waziri wa zamani wa Utalii, amesema kuna umuhimu wa Tanzania kukubali chanjo kama njia ya kupambana na...
NIMEMSIKILIZA Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu....
VYOMBO vya dola vimemnyanyasa Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, kwa siku tatu mfululizo sasa kutokana na deni ambalo anadaiwa na Kampuni ya Ujenzi ya...
Education
Politics
Siasa za somo la historia ya Tanzania zaleta ukakasi. Mitaala mipya kuanza Julai 2021
WANAZUONI, walimu na wachambuzi kadhaa wa masuala ya elimu wameonya kuhusu historia ya Tanzania kupotoshwa kwa malengo ya kisiasa. Tayari Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Elimu, Prof....
VIONGOZI wa taasisi, mashirika ya umma na idara za serikali wamekatazwa kutangaza chochote kuhusu tahadhari juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa Corona – “kwa hofu ya kuleta taharuki.” Yeyote...