NAIBU Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upande wa Zanzibar, Salum Mwalimu, amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano limepwaya, kwa kukosa wabunge mahiri kutoka Chadema. Amewaomba wananchi...
People and Events
- Mbowe aahidi neema kwa wachimbaji madini wa Kitanzania
- Heche amshughulikia Waitara, wanaCCM 160 wahamia Chadema
Mwenyekiti na wajumbe wa serikali wahamia Chadema
- Mbowe aibuka na 'Dira ya Maendeleo Vijijini'
- Lissu akemea mauaji, ukandamizaji raia jirani na hifadhi
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametoa michango mbalimbali ya kifedha kusaidia jamii akiwa katika ziara ya chama hicho inayoendelea kwenye mikoa ya...
KATIKA mkutano wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo kwenye kijiji cha Sakasaka, Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu, mkoa wa Simiyu, wananchi...
- Asombwa na mafuriko ya Mbowe Meatu
- Ni Rosemary Kirigini aliyewahi kuwa mbunge Viti Maalumu
SERIKALI za mitaa na vijiji ambazo karibu zote zipo chini ya Chama cha Mapinduzi (CCM), zimelalamikiwa na wananchi kwa kutosoma mapato na matumizi wala kuitisha mikutano mikuu ya wananchi....
- Lembeli aibukia jukwaa la Chadema, Kahama, akerwa na rushwa serikalini.
- Chadema, Mikataba ya Uwekezaji vyaiweka pabaya CCM