TUME ta Taifa ya Uchaguzi imejiingiza katika kashfa, na umma wa Watanzania sasa unaiona kuwa inashabikia na kusaidia mgombea mmoja wa urais, badala kuwa mwamuzi na msimamzi wa haki kwa wagombea wote. Hatua hii inathibitishwa na kauli na vitendo vya tume yenyewe kwa kutaka kuadhibu chama na mgombea mmoja...
Politics
KATIKA maeneo mbalimbali nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiwa na hofu ya kushindwa, na sasa kimebuni mbinu ya kujinusuru kwa kununua vitambulisho vya kupigia kura. Katika uchaguzi mkuu wa...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta...
Thursday 24 September: Twaweza’s Executive Director, Aidan Eyakuze, has been elected the Civil Society Co-Chair of the Open Government Partnership (OGP). His term as Lead Co-Chair alongside the Government of...
Kongamano la baadhi ya viongozi wa dini na serikali limeisha. Tumesikia kauli zao. Lakini kuna mambo yafuatayo ambayo hawakutuambia. Sasa, sisi tunawambia, na tunawasihi hawa “viongozi wa dini” wayaweke...
This article was filed by a Special Correspondent from Dar es Salaam TANZANIANS will be going to the polls on Wednesday 28th October 20220 in what will be the...
“Our God is wonderful. He has heard your prayers and today I am with you in good health ready to carry out the rest of the work. I was...
JESHI la Polisi Tanzania linamsaka Ramadhan Baraka kwa tuhuma za kutishia maisha ya aliyekuwa mkewe, Anne Maleya. Mkewe huyo yupo ughaibuni, na kwa sababu kadhaa, mamlaka za nchi aliko,...