TANZANIA imeingia katika orodha ya nchi zinazotumia ubabe na hila kubaki madarakani ikiwa ni pamoja na kuminya uhuru wa kupashana habari kwa kuzima mtandao wa mawasiliano wa intaneti. Ripoti...
Corruption
Katika uchambuzi huu, Raia Mzalendo anazungumzia baadhi ya matukio na vituko alivyoshuhudia kutoka kwa wawekezaji wa Kichina ambao kwa mtazamo wake ni mabeberu wa zama mpya na wahujumu mambo...
NAOMBA kuchangia mjadala kuhusu hatua ya Rais John Magufuli kuhamishia Ikulu nyumbani kwake Chato- kinyemela. Ni makosa makubwa. Ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi wa nchi kuhamishia Ikulu...
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Corruption
Economy
Politics
Katika hili la kiwanda cha maziwa, Magufuli atakabwa na mgogoro wa maslahi. Apewa ng’ombe, bado “mke wa Kinyarwanda.”
WIKI hii Rais John Pombe Magufuli (JPM) yuko Mkoani Kagera. Alianzia Bukoba na sasa yuko mapumzikoni “nyumbani” kwake kwingine, Karagwe. Ziara hii imeibua mengi na itaendelea kuibua mengine, hata...
Corruption
Justice
Politics
Serikali ya Magufuli yatumia “kesi mbaya” kuchuma mapesa kwa kutesa wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanaharakati
HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kukamata na kutesa raia, kuwafungulia kesi mbaya na hatimaye kuwanyang’anya fedha, imeelezwa kuwa ni mkakati wa kujinufaisha kwa pesa za haraka haraka,...
Business
Corruption
Politics
Ubeberu wa China kumfanya Magufuli “alambe matapishi” yake kuhusu Bandari ya Bagamoyo
CHINA imemweka mtegoni Rais John Magufuli. Taarifa zinasema yupo njiani “kulamba matapishi” yake na kuridhia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, ambayo aliigomea na kutengua makubaliano ya uendelezwaji wake kwa...
Corruption
Justice
People and Events
Politics
Vita dhidi ya ufisadi: Magufuli awakingia kifua vigogo, maswahiba
VITA dhidi ya ufisadi ambayo Rais John Magufuli amekuwa anajitapa nayo, imeingia dosari baada ya kubainika kuwa ukali wake unaelekezwa kwa baadhi ya watu huku akikwepa kugusa wengine. Baadhi...