Kama ilivyowasilishwa na ripota raia BJ leo asubuhi tarehe 09 Novemba 2021. Saa 3:35 asubuhi ya Novemba 9, 2021, Jaji ameshaingia mahakamani. Wakati wowote kesi itaanza. Kesi inasomwa. Ni...
Author: Ansbert Ngurumo
Jaji: "natazama muda, naona kama sitaweza kufanya maamuzi muda huu. Kwa maana hiyo, naomba tuahirishe mpaka kesho asubuhi."
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Mawakili wa utetezi wawashika uchuku jaji na shahidi kwenye kumbukumbu halisi za mahakama
AWALI ILIKUWA HIVI:
Wakili wa Serikali: Wakati mnaenda Moshi Kutoka Arusha mlikuwa watu wangapi?
Shahidi: Wakati tunatoka Moshi tulikuwa watu sita ila wakati wa ukamataji tulikuwa watano. Mmoja alikuwa dereva
Mtobesya: OBJECTION...
Justice
Main
Politics
Kesi ya Mbowe: Pingamizi la Wakili Mtobesya latia majaribuni uadilifu wa Jaji Tiganga
Jaji ameshaingia mahakamani na kesi imeanza kwa kutajwa namba yake. Mawakili wa upande wa Jamhuri wanajitambulisha. Robert Kidando Pius Hilla Abdallah Chavula Jenitreza kitali Nassoro Katuga Esther Martin Ignasi...
Kutoka mahakamani kama ilivyowasiishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 03 Novemba 2021. Jaji ameingiaKesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling’wenya na Freeman Mbowe...
Justice
Main
Politics
Security
Kesi ya Mbowe: Shahidi kutoka Tigo akiri mitambo ya simu yaweza kuingiliwa, kuchezewa
Mtobesya: Sikusikia ukisema kwamba Servers zinaweza kuingiliwa na Mahakama?
Shahidi (Tigo): Sahihi
Mtobesya: Wakati Jaji akiandika elezea HACKERS ni Watu gani
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, kutoka mahakamani leo tarehe 01 Novemba 2021. Mawakili,watuhumiwa na Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani Muda wowote Kesi itaanza Jaji ameingia sasa Saa 4...
Literature
People and Events
Politics
Abdulrazak Gurnah’s Nobel Prize propels dual citizenship debates in Tanzania
WHEN the Nobel Prize Committee announced on 7th October 2021 that Tanzanian novelist Abdulrazak Gurnah was this year’s winner of the Nobel Prize in Literature, little did they know...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 29.Oktoba 2021. Saa 3:50 asubuhi Jaji anaingia mahakamani. Kesi namba 16 ya mwaka 2021 inasomwa. Ni Jamhuri dhidi ya Khalfani Bwire,...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2022. Kwa ufupi Shahidi wa Jamhuri Justine Kaaya jana alisema kuwa alikutana na Mbowe kupanga ugaidi Januari 2020...