MAZUNGUMZO kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ya Kikristo, ambayo makanisa na Ikulu wamekuwa wanayafanya kuwa siri, yamevuja na kuibua masuala yapatayo sita. Rais Magufuli alikutana...
Religion
PAMOJA na sababu nyingine zilizomfukuzisha Mwigulu Nchemba uwaziri wa mambo ya ndani, kubwa inayosemekana kumkasirisha zaidi Rais John Magufuli ni barua ya waziri kutengua zuio la idara ya uhamiaji...
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limefanya mabadiliko ya uongozi na kupata viongozi watatu wapya – rais, makamu wa rais na katibu mkuu. Katika mabadiliko hayo, Mhashamu Askofu Gervas...
BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambalo limekuwa linaongozwa na Mwadhama...
WAISLAMU nchini Tanzania wameandika na kusambaza waraka wa Idd wakiwaomba wananchi kutafakari mustakabali wa nchi katika kipindi hiki kigumu kinachosababishwa na serikali kutojali haki za raia na kuendekeza siasa...
Politics
Religion
Magufuli apambana rasmi na maaskofu. Atishia kufuta Wakatoliki na Walutheri Tanzania
SERIKALI ya Rais John Magufuli imeanza rasmi kupambana na viongozi wa dini wanaoikosoa, na sasa imeanza “kushughulikia” makanisa kama njia ya kuadhibu maaskofu walioandika nyaraka za kichungaji katika kipindi...
Na Mwandishi Wetu DAYOSISI ya Mashariki na Pwani (DMP) imetoa waraka maalumu wa kumtetea na kumlinda askofu wake, Dk. Alex Malasusa, ambaye ametengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Na Mwandishi wetu KUTENGWA kwa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kumeleta fukuto na mjadala mkali...
Na Mwandishi Wetu NGUVU iliyosababisha usaliti wa Askofu Dk. Alex Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ambaye ametengwa na Baraza la Kuu la maaskofu wa Kanisa la...
