TANZANIA’s Media Services Act (2016) is, according to journalists and rights groups, violating the rights to freedom of expression. In addition to the act, amid COVID-19 crisis, the Tanzanian...
Religion
Politics
Religion
Anna Mghwira ajiingiza katika mgogoro na Kanisa Katoliki akitaka lipindishe taratibu za mazishi
MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira (62), amejiingiza katika mgogoro wa kiimani na Kanisa Katoliki baada ya kuingilia taratibu za mazishi, akitumia mamlaka ya kisiasa kuamuru kanisa lipinde kanuni...
Kongamano la baadhi ya viongozi wa dini na serikali limeisha. Tumesikia kauli zao. Lakini kuna mambo yafuatayo ambayo hawakutuambia. Sasa, sisi tunawambia, na tunawasihi hawa “viongozi wa dini” wayaweke...
Katika Misa ya Pasaka iliyoadhimishwa kitaifa leo kwenye Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, Askofu Almachius Rweyongeza amezungumzia masuala muhimu kijamii na kitaifa. Hizi ni dondoo kuu za mahubiri...
Katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyoadhimishwa kitaifa katika Dayosisi ya Karagwe (KKKT), mkoani Kagera leo Aprili 19, 2019, Askofu Benson Bagonza, katika mahubiri mafupi na mazito, ametoa tafakuri juu...
MAZUNGUMZO kati ya Rais John Magufuli na viongozi wa dini ya Kikristo, ambayo makanisa na Ikulu wamekuwa wanayafanya kuwa siri, yamevuja na kuibua masuala yapatayo sita. Rais Magufuli alikutana...
PAMOJA na sababu nyingine zilizomfukuzisha Mwigulu Nchemba uwaziri wa mambo ya ndani, kubwa inayosemekana kumkasirisha zaidi Rais John Magufuli ni barua ya waziri kutengua zuio la idara ya uhamiaji...
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limefanya mabadiliko ya uongozi na kupata viongozi watatu wapya – rais, makamu wa rais na katibu mkuu. Katika mabadiliko hayo, Mhashamu Askofu Gervas...
BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambalo limekuwa linaongozwa na Mwadhama...
WAISLAMU nchini Tanzania wameandika na kusambaza waraka wa Idd wakiwaomba wananchi kutafakari mustakabali wa nchi katika kipindi hiki kigumu kinachosababishwa na serikali kutojali haki za raia na kuendekeza siasa...