IMEDHIHIRIKA sasa kwamba Rais John Magufuli amekuwa anapotosha Watanzania katika mambo mengi ya msingi. Upotoshaji wake unakera sana kwenye sekta za afya, uchumi, utawala wa sheria, haki za binadamu,...
People and Events
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Corruption
Justice
People and Events
Politics
Vita dhidi ya ufisadi: Magufuli awakingia kifua vigogo, maswahiba
VITA dhidi ya ufisadi ambayo Rais John Magufuli amekuwa anajitapa nayo, imeingia dosari baada ya kubainika kuwa ukali wake unaelekezwa kwa baadhi ya watu huku akikwepa kugusa wengine. Baadhi...
IMETHIBITISHWA kuwa Balozi Dk. Pius Ng’wandu sasa atazikwa kesho, Jumatano, nyumbani kwake Makabe, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Uamuzi huo umetokana na wosia alioacha Dk. Ng’wandu,...
JESHI la Polisi Tanzania linamsaka Ramadhan Baraka kwa tuhuma za kutishia maisha ya aliyekuwa mkewe, Anne Maleya. Mkewe huyo yupo ughaibuni, na kwa sababu kadhaa, mamlaka za nchi aliko,...