VICKY Nsilo Swai, a woman who kept Nelson Mandela’s pair of leather boots for 33 years, will be laid to rest tomorrow, Tuesday June 15, 2021 in her home...
Politics
HOFU ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa Corona yameifanya serikali ya Tanzania iagize kila mwananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo na kuvaa barakoa katika sehemu za mikusanyiko. Corona, ugonjwa...
TANZANIA is set to start issuing COVID-19 data from July this year, for the first time since 29th April 2020 when then President John Magufuli ordered the government to...
TANZIA hii imeandikwa na SIMON MKINA, mhariri mtendaji na mmiliki wa gazeti la Mawio. Endelea. JANA Juni 13 asubuhi, nimepokea taarifa za kifo chako nikiwa bado kitandani; nimejilaza kwa...
Entertainment & Arts
People and Events
Politics
Sports
Magufuli, Makonda become Diamond Platinumz’s bad omen
THOUSANDS of music supporters and civil rights activists in Tanzania are calling for the disqualification of Tanzanian artiste Diamond Platinumz from this year’s BET Awards, citing his dubious closeness...
Justice
People and Events
Politics
The first of Magufuli’s demagogic district commissioners faces serious court charges
LENGAI ole Sabaya, one of Magufuli’s staunch loyalists and demagogic district commissioners, is in remand prison. Until May 12 this year, he was the District Commissioner of Hai in...
HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, leo wamepandishwa kizimbani kujibu mashitaka sita yakiwemo ujambazi wa kutumia silaha, utakatishaji...
LEO baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kufikishwa mahakamani Arusha kujibu tuhuma za uhalifu zinazomkabili, mwandishi wa habari na mchambuzi Bollen Ngetti ameandika uchambuzi...
JANA tarehe 1 Juni 2021, Spika wa Bunge Job Ndugai alimwamuru mbunge mmoja wa kike, Condester Sichalwe (Momba), aondoke kwenye ukumbi wa Bunge kwa maelezo kuwa hakuvaa nguo za...
WAKATI wowote kuanzia sasa, Zanzibar itaanza kupokea chanjo dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona, baada ya serikali kuridhia matumizi yake. Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Ikulu ya...