Kuna watu wamekuwa wananitaka nijadili ufisadi na usafi wa Edward Lowassa, katika muktadha wa orodha ya mafisadi 11 iliyotolewa na Chadema, Septemba 15, 2007, katika viwanja vya Mwembeyanga, Temeke,...
KITABU
Viongozi na watawala walio safi, wema, wenye nia na matendo mema, hawawezi kuogopa kuhojiwa. Hawatumii nguvu za dola kutisha au kuumiza wanasiasa, wanahabari, wachambuzi, vyama vya kiraia, wasomi, na...
WANASIASA wetu wamekuwa wanatumia vyombo vya habari kujenga umaarufu wao na kubomoa washindani wao. Wanaficha mengi katika vyombo vya habari. Rais Kikwete alionesha umahiri katika kutumia ukaribu wake na...
Baada ya marais Ben Mkapa na John Magufuli, na wapambe wao, kusoma andiko lililotangulia kuhusu “uzi mwembamba unaounganisha Mkapa, Kikwete na Magufuli – 005,” walikerwa na uwasilishaji wangu wa kumbukumbu...
MTANZANIA yeyote, au raia wa nchi yoyote, aliyefuatilia utendaji wa serikali zetu tangu mwaka 1995 hadi sasa, atakuwa amegundua kwamba kuna uzi mwembamba unaunganisha marais wetu. Ni watawala wale...
Maswali Magumu na vyama vya siasa vidogo vidogo Yalikuwepo masuala mengi mazito yaliyosababisha mijadala na uchambuzi mzito. Lakini haya machache yameteuliwa ili yawe msingi wa hoja zinazoibuka katika kitabu...
Miaka minne ya kwanza ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete, ndiyo iliweka msingi wa hoja zilizoibua uchambuzi na ukosoaji dhidi ya serikali yake kwa miaka 10 ya uongozi wake,...
Awali, sikudhamiria kuandika kitabu. Hili ni zao la makala zangu za uchambuzi wa kisiasa, hasa katika gazeti RAI tangu 1997, na baadaye katika safu ya Maswali Magumu, ambazo zilichapishwa...
Yameandikwa jana lakini yanaishi leo. Yanamulika matendo, mwenendo, na kauli za wakubwa wenye mamlaka. Yanachambua mfumo wa utawala wa Tanzania na kuonyesha uzi mwembamba unaounganisha mtawala mmoja na mwingine...
UTAMBULISHO SAFU ya Maswali Magumu iliyowahi kuchapishwa na magazeti ya Mwananchi Jumapili, Tanzania Daima Jumapili na MwanaHALISI kati ya mwaka 2002 na 2017 imezaa kitabu. Kimeandikwa kwa Kiswahili, na kinatafsiriwa...