TANZANIA imeingia katika orodha ya nchi zinazotumia ubabe na hila kubaki madarakani ikiwa ni pamoja na kuminya uhuru wa kupashana habari kwa kuzima mtandao wa mawasiliano wa intaneti. Ripoti...
Tag: John Magufuli
THE Eminent Persons’ Tanzania Elections Watch (TEW) has released its final and conclusive report on the general election that took place on October 2020, giving a clear verdict that...
ZAIDI ya watu 600,000 nchini Tanzania wameingia kwenye mduara wa “umasikini wa kutupwa” na wanaishi magumu kutokana na mdororo wa uchumi – katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Mdororo...
IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
IT is President John Magufuli’s about-turn now, althougt it might be quite late and a lot of lives lost due to negligence and adamance. Tanzania’s President who, in the...
WAHAYA na Wanyambo wana usemi kwamba “mtoto atukanaye wazee hatukani mtu mmoja.” Usemi huu, ambao pia hutumiwa naWasubi na Wazinza (waishio katika maeneo ya Wilaya za Biharamulo na Chato)...
AS Tanzanians, on instruction from their president, keep relying on herbal concoction in the battle against COVID-19, and as President John Magufuli still rejects vaccine from “the white man,”...
NAMFAHAMU Prof Benno Ndulu, Gavana wa Benki Kuu Mstaafu aliyeaga dunia majuzi. Nilikuwa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alinisikiliza na nilimsikiliza. Sasa ametutoka. Katika mengi, yeye ni mhanga wa...
VYUMBA vya kuhifadhia maiti katika hospitali za Muhimbili, Ilala na Mwananyamala jijini Dar es Salaam vimefurika. Taarifa hizo zinahusu pia Hospitali ya Mount Meru jijini Arusha. Uchunguzi wa siku...
NIMEMSIKILIZA Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu....