Mikakati kamambe ya kuigeuza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uwekezaji na neema ya maendeleo nchini Tanzania, sasa imekwama, SAUTI KUBWA inaeleza pasipo shaka. Wachambuzi wa kisiasa...
Tag: Chato
Corruption
People and Events
Politics
Why Bukoba’s educated masses should avoid docility, complacency to avert the regime’s vicious sting
This article was written and shared by Deogratias Rweyongeza (PhD) to a specific online community known as Friends of Bukoba (FoB) of which he is a co-founder. It underscores...
ZITTO KABWE, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, ameorodhesha mafunzo ambayo Watanzania wameyapata kwa utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Ameyaandika katika TANZIA aliyoiita, “Kwa heri John Magufuli, Buriani Tingatinga,” leo siku...
WAHAYA na Wanyambo wana usemi kwamba “mtoto atukanaye wazee hatukani mtu mmoja.” Usemi huu, ambao pia hutumiwa naWasubi na Wazinza (waishio katika maeneo ya Wilaya za Biharamulo na Chato)...
NAOMBA kuchangia mjadala kuhusu hatua ya Rais John Magufuli kuhamishia Ikulu nyumbani kwake Chato- kinyemela. Ni makosa makubwa. Ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi wa nchi kuhamishia Ikulu...
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
Business
Corruption
Politics
Ubeberu wa China kumfanya Magufuli “alambe matapishi” yake kuhusu Bandari ya Bagamoyo
CHINA imemweka mtegoni Rais John Magufuli. Taarifa zinasema yupo njiani “kulamba matapishi” yake na kuridhia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, ambayo aliigomea na kutengua makubaliano ya uendelezwaji wake kwa...
WIKI iliyoisha Jumapili 26 April 2020, Rais John Magufuli alihutubia taifa akiwa nyumbani kwake Chato kuhusu mapambano dhidi ya kuenea kwa virus vya Korona (COVID 19). Katika hali ya...
RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti vyombo vya habari, wanaharakati, na wapinzani hata kwa kumwaga damu, zimeanza kujulikana. Anaogopa wapinzani na vyombo...