MAALIM Seif Sharif Hamad, the First Vice President of Zanzibar, has lost his battle against COVID-19. Zanzibar President Dr Hussein Mwinyi has addressed the nation this afternoon and said...
Politics
VYOMBO vya dola vimemnyanyasa Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoliki la Kayanga, mkoani Kagera, kwa siku tatu mfululizo sasa kutokana na deni ambalo anadaiwa na Kampuni ya Ujenzi ya...
Education
Politics
Siasa za somo la historia ya Tanzania zaleta ukakasi. Mitaala mipya kuanza Julai 2021
WANAZUONI, walimu na wachambuzi kadhaa wa masuala ya elimu wameonya kuhusu historia ya Tanzania kupotoshwa kwa malengo ya kisiasa. Tayari Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Elimu, Prof....
NJAMA za “utatu wa kishetani” kuiba kura na kuvuruga uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2020, zimeendelea kudhihirisha namna zilivyominya haki za Watanzania kuchagua madiwani, wabunge na rais wanayemtaka. Ushirika...
WAJUMBE watano kutoka chama cha ACT-Wazalendo wameapa jana katika mkutano wa pili wa Baraza la Wakilishi la 10 unaoendelea Chukwani Mjini, Zanzibar. Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali...
VIONGOZI wa taasisi, mashirika ya umma na idara za serikali wamekatazwa kutangaza chochote kuhusu tahadhari juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa Corona – “kwa hofu ya kuleta taharuki.” Yeyote...
WAKATI Japan ikizuia raia wake kusafiri Tanzania kwa sasa, Uingereza imewataka wasafiri wote wanaotoka au kupitia Tanzania na nchi nyingine zilizowekwa katika “kundi la hatari” kufanya malipo ya awali...
Afya
People and Events
Politics
Corona claims five retired army generals in Tanzania within two weeks
FIVE brigadier generals in Tanzania have lost lives due to Coronavirus in the span of two weeks, despite President John Magufuli’s denialism of the pandemic. Magufuli has been insisting...
THE borrowing spree of Tanzania under President John Magufuli is weighing down the East African country by swelling public debt and could possibly be engulfed in a “responsibility crisis.”...
TANZANIA imepoteza wapiganaji wake – wenye vyeo vya juu jeshini – mabrigedia jenerali watano – ndani ya wiki mbili kutokana na kile kinachoelezwa na serikali kuwa ni changamoto ya...