A new wave of Coronavirus infection in Tanzania has sparked alarm and new stance that forced the Tanzania Catholic Episcopal Conference (TEC) to issue an official statement to its...
Politics
NAOMBA kuchangia mjadala kuhusu hatua ya Rais John Magufuli kuhamishia Ikulu nyumbani kwake Chato- kinyemela. Ni makosa makubwa. Ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi wa nchi kuhamishia Ikulu...
Afya
Religion
Kanisa Katoliki Tanzania lavunja ukimya rasmi kuhusu Corona. TEC yatoa tamko kutahadharisha waamini
WIMBI jipya la maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Tanzania limeibua msimamo mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), na sasa limetoa tamko rasmi kwa waamini wake. Katika...
Corruption
People and Events
Politics
Ni gharama kuwa na Ikulu tatu, ni hatari kuwa na Ikulu tatu, ni mgogoro kuwa na Ikulu tatu
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alihama Ikulu ya Magogoni akaenda kuishi Msasani, lakini kazi aliendelea kufanyia Ikulu, katika ofisi ya rais, Magogoni. Kwa kauli zake za mara...
SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kuacha “kumtesa” na kumwachia haraka mwanaharakati Zara Kay, raia wa Australia, aliyekamatwa, kuhojiwa na vyombo vya usalama jijini Dar es Salaam tangu Desemba 28, mwaka...
Afya
Education
Politics
Serikali yalazimisha Shule ya Kimataifa Moshi ikanushe taarifa kuhusu tishio la Corona
SERIKALI ya Tanzania, kupitia vyombo vya usalama, imelazimisha uongozi wa Shule ya Kimataifa ya Moshi (ISM) kukanusha taarifa ya kufungwa kwa shule hiyo kutokana na kukumbwa na ugonjwa wa...
Afya
Politics
Religion
Askofu Mkatoliki ampinga Magufuli kuhusu uwepo wa Corona Tanzania. Asambaza waraka mzito kwa waamini
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Mhashamu Isaac Amani, ambaye huko nyuma amewahi kuonekana kama ni swahiba na mtetezi wa Rais John Magufuli, ameelemewa na uzito wa ushabiki...
MADHARA ya serikali kukanusha uwepo wa maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Tanzania sasa yameanza kuonekana baada ya Uingereza kupiga marufuku wasafiri wote watokao Tanzania wanaotaka kuingia nchini humo....
Corruption
Economy
Politics
Katika hili la kiwanda cha maziwa, Magufuli atakabwa na mgogoro wa maslahi. Apewa ng’ombe, bado “mke wa Kinyarwanda.”
WIKI hii Rais John Pombe Magufuli (JPM) yuko Mkoani Kagera. Alianzia Bukoba na sasa yuko mapumzikoni “nyumbani” kwake kwingine, Karagwe. Ziara hii imeibua mengi na itaendelea kuibua mengine, hata...
Election
Politics
World
Trump aaga Tanzania kwa “bakora la viza.” Azuia vigogo kusafiri Marekani kwa tuhuma za kuvuruga uchaguzi na uvunjaji haki za binadamu
TANZANIA imekuwa nchi ya mwisho kuonja makali ya Rais Donald Trump ambaye anaondoka madarakani rasmi kesho Januari 20. Siku moja kabla hajaondoka amewekea viongozi waaandamizi wa Tanzania vikwazo vya...