WAKATI wowote kuanzia kesho, kiongozi na mmiliki wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ataamriwa kuthibitisha msimamo wake kwamba chanjo dhidi ya COVID-19 ni sumu na zinaua;...
Politics
RAIS Samia Suluhu aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Wapo walioyabeba maneno hayo kama yalivyo. Wapo walioyatafakari na kuyachambua. Ukitazama baadhi ya mambo mazuri...
Justice
People and Events
Politics
Mahakama zaamuru Musiba awalipe Prof. Tibaijuka, Fatma Karume bilioni 8 kwa kuwakashifu.
MAHAKAMA nchini Tanzania zimemuamuru Cyprian Musiba, ambaye amekuwa anajiita “mwanaharakati huru,” kulipa fidia ya Shilingi bilioni 7.58 baada ya kumkuta na hatia ya kukashfu, kudhalilisha na kusema uongo dhidi...
Some have reached the extent of selling their body parts such as kidneys and traffic narcotic drugs. That is how bad the situation in Tanzania is getting.
SERIKALI ya Kenya imeamuru watumishi wote wa umma nchini humo kuchanjwa kwa lazima dhidi ya COVID-19. Taarifa iliyosainiwa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Joseph Kinyua, iliyotolewa leo kwa...
Justice
Politics
Mahabusu wasimulia mateso ya kunguni, uchafu wa haja ndogo na kunyimwa dawa wakiwa vituo vya polisi Dar
MAHABUSI za vituo vya Jeshi la Polisi nchini Tanzania zimegeuzwa “jehanamu” za polisi kutesea mahabusu kinyume cha sheria, imefahamika. Baadhi ya mahabusu walioshikiliwa katika mahabusi hizo wameeleza kuwa vituo...
JESHI la Polisi nchini Tanzania limeingia katika hatua mpya ya uonevu na udhalilishaji wa raia, baada ya akina mama waliokuwa wameshikiliwa na polisi kwa siku kadhaa kinyume cha sheria...
FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo rumande katika gereza la Ukonga, Dar es Salaam, ametuma ujumbe wa maandishi kwa Watanzania na kuwapa ujumbe maalumu. Huu hapa chini: “Hali...
NDANI ya siku tatu, Jeshi la Polisi limekamata na kunyima dhamana wanachama wa Chadema zaidi ya 40 katika Jiji la Dar es Salaam, SAUTI KUBWA imeelezwa. Leo pekee, polisi...
Justice
People and Events
Politics
Kesi ya Mbowe yashindikana kusikilizwa kwa masafa. Polisi wadhulumu wafuasi wa Chadema mahakamani
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limelazimika kutumia nguvu kutawanya wafuasi na mashabiki wa Chadema waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatilia...