Main Magufuli anaswa na mtego wa Mobutu Author Ansbert NgurumoPosted on 28th April 201829th April 2018 TAYARI kuna jambo moja kubwa ambalo Rais John Magufuli amefanana na Mobutu Seseseko, dikteta wa zamani wa Zaire, ambayo sasa inaitwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Katika utawala wake...