HOFU ya kiza cha ujinga inazingira serikali ya Tanzania, na sasa watawala wanapanga kufunga – Facebook, WhatsApp, Twitter na hata Instagram. Kupitia mitandao hiyo, si wanafunzi tu wanaopata uelewa...
Author: Ansbert Ngurumo
RIPOTI ya mwaka 2018 inayotolewa na taasisi ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (RSF), kuhusu uhuru wa vyombo vya habari katika mwaka uliopita, inaonyesha kwamba ndani ya mwaka...
SEKTA ya utalii ndiyo ya pili inayoingizia Tanzania fedha nyingi za kigeni baada ya sekta ya madini. Kwa sasa sekta hii inaingizia nchi zaidi ya dola za kimarekani bilioni...
TUNDU Lissu, a Tanzanian Member of Parliament who was shot by “unknown assailants” in broad daylight at his residence in Dodoma, Tanzania, on 7th September 2017, says he is...
Na Mwandishi Wetu MWAKA wa kwanza wa utawala wa Rais John Magufuli “uliotesha” ufisadi mkubwa serikalini kuliko awamu iliyomtangulia ya Rais Jakaya Kikwete. Ukweli huu unapatikana katika uchambuzi mfupi...
KAMBI rasmi ya upinzani inaamini kwamba iwapo Bunge llitapitisha bajeti ya serikali mwaka huu, litakuwa limepitisha bajeti hewa. Yafuatayo ni maoni kambi hiyo kama yalivyowasilishwa bungeni wiki iliyopita: Mheshimiwa...
KWA wiki kadhaa kumekuwepo mchuano mkali kati ya mwanaharakati Mange Kimambi na Rais John Magufuli wa Tanzania. Mange, mwanamitindo na mwanaharakati wa uhuru wa kujieleza, anatumia mitandao ya kijamii....
ANSBERT NGURUMO, mhariri wa SAUTI KUBWA anajibu onyo la Rais John Magufuli kuhusu marufuku ya mikutano ya siasa. Kauli hii ilitolewa kujibu “amri” ya Rais Magufuli alipozuia mikutano ya...
FATMA KARUME NINAFURAHI SANA KUITWA MWANAHARAKATI WASHERIA
Dar es Salaam. Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito wa Sikukuu ya Pasaka. Ujumbe huo uliosainiwa na maaskofu 27 wa KKKT waliokutana Machi...