Unaalikwa kupendekeza jina la mtu mmoja kutoka nchini mwako ambaye unatambua kuwa ametoa mchango chanya kwa kutetea, kulinda, kuhamasisha au kupigania uhuru wa kujieleza kwa kazi alizofanya kati ya...
Author: Ansbert Ngurumo
KESI ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake inazidi kufunua mambo mengi yaliyokuwa sirini. Watu wengi na taasisi kadhaa za ndani na nje wamekuwa wakimshauri Rais Samia Suluhu aondoe...
Kama ilivyoletwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 26 Januari 2022. Jaji kaingia mahakamani. Kesi inatajwa. Wakili wa serikali: Mheshimiwa Jaji Ikikupendeza naitwa wakili Wa Serikali Robert Kidando nipo...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 24 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani saa 4 na dakika 55 Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa,...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 21 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani muda huu saa 4 na dakika 4Wakili wa Serikali Robert Kidando: Ikupendeze Mheshimiwa Jaji naitwa...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 20 Januari 2022. Jaji ameingia mahakamani muda huu saa 4 kasoroboKesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed...
Kama ilivyowasilishwa na ripota raia, BJ, leo tarehe 19 Januari 2022. Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Saa 4 Kasoro Dakika 2Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam...