Kama ilivyoandikwa na ripota raia, BJ, leo Jumatano tarehe 29 Septemba 2021. Endelea. Ni saa 3:16 asubuhi, washtakiwa wameshafikishwa mahakamani na wamekaa kwenye nafasi zao. Mawakili wa utetezi, wakiongozwa...
Author: Ansbert Ngurumo
Kutoka mahakamani kama ilivyoandikwa na ripota raia, BJ, leo Jumanne tarehe 28 Septemba 2021. Endelea. Jaji ameshaingia Sasa Watuhumiwa wanapandishwa Kuzimbani Mawakili wa Serikali wanatambulishwa Robert Kidando Abdallah Chavula...
Justice
Politics
Kesi ya Mbowe: Mshitakiwa na shahidi wa utetezi “anyukana” na mawakili kizimbani (5)
Kutoka mahakamani kama ilivyoripotiwa na ripota raia, BJ, leo Jumatatu 27.09.2021. Endelea. Jaji ameshaingia, amekaa na kesi imeshatajwa. Kesi inasomwa. Ni Kesi namba 16 ya mwaka 2021 Jamuhuri dhidi...
Kama ilivyoripotiwa na ripota raia, BJ, leo Ijumaa 24.09.2021. Jaji ameshakaa na kesi inatajwa. Ni namba 16 ya 2021. Naomba utulivu ili tuanze. Jaji: Wakili wa Serikali?Wakili wa Serikali...
Kutoka kwa ripota raia BJ. LEO Jumatatu Septemba 20, 2021, saa 6:00 mchana. Jaji hajaingia mahakamani. Mawakili wa Serikali hawajaingia mahakamani. Saa 6:02, mawakili wa Serikali hao wanaingia chumba...
Anaripoti BJ mwandishi raia kutoka mahakamani. Tunaiweka bila kuihariri ili kutoharibu asili na vionjo vyake. Fuatana naye: Leo tarehe 17. Septemba 2021, saa 6:00 mchana. Jaji hajaingia mahakamani. Mawakili...
Kama ilivyoripotiwa na mwandishi raia BJ, JUMATANO, SEPTEMBA 15, 2021. Endelea. Mawakili wa Serikali ndio wameingia na magari mawili aina ya Land Cruiser Prado Tx Robert Kidando yupo Nassoro...
Justice
People and Events
Politics
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema. Uamuzi wa Jaji...
KUMEKUWEPO na mjadala mkali kuhusu chanjo ya Corona, hawa wakiipinga na wengine wakiitetea. Katika mnyukano wa maoni kuhusu chanjo hii, Askofu Josephat (Rashid) Gwajima na Waziri wa Afya Dorothy...
RAIS Samia Suluhu aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Wapo walioyabeba maneno hayo kama yalivyo. Wapo walioyatafakari na kuyachambua. Ukitazama baadhi ya mambo mazuri...
