"Unyanyapaa ni moja ya vizuizi vikubwa vya jitihada zote za kumtibu mtu anayeishi na hali ya kifafa. Mwingine anajinyanyapaa mwenyewe kwa sababu ya malezi na makuzi kwenye jamii yake...
Author: Arodia Peter
KAMPUNI ya Uwekezaji iliyo chini ya Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) ijulikanayo kama Tanapa Investment Ltd imejipanga kutoa ushindani na kampuni za nje kuwania tenda mbalimbali za ujenzi...
“I Change Nations International haimpi tuzo mtu kwa sababu ni rais wa nchi, inawapa watu wa aina mbalimbali kuanzia hao marais na watu wengine hadi mtaani. Tumefurahi tumepata na...
Utesaji na kamatakamata ya kionevu vimekuwa vikifanyika katika maeneo zaidi ya moja, mara nyingi vikiacha madhara makubwa kwa wathirika...
"Na ndiyo maana tukasema sasa kabla ya kwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu mwakani, sheria zile ambazo zilikuwa zinatumika kwenye uchaguzi na...
SAUTI KUBWA imeamua kutumia picha ya mtoto huyo, Asiimwe Novati, kwa sababu maalumu ili kusaidia jitihada za uchunguzi na utafutaji.
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mifumo imara waliyoianzisha imesaidia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiwango kikubwa. Akizungumza katika semina ya waandishi wa habari za mitandao ya kijamii Dar...
"Nimebahatika kutembelea miji mikubwa na midogo nchini China, ikiwemo Beijing, Shanghai, Xian, Tianjin, na Chongqing sijawahi kuona michezo ya kamari kwani inakatazwa kisheria..."
"Ni kitu ambacho kisichowezekana! Eti uweke Shilingi 200, ushinde milioni 51. Naweza kusema ni kitu kigumu kwa sababu tangu nianze kucheza kamari, sikuwahi kuona hata watu wanaonizunguka wakishinda..."
Vijana walio mtaani, waliohitimu ngazi mbalimbali za elimu, wanafunzi wa vyuo vikuu na hata sekondari wamenasa kwenye michezo hii wakiamini ndiyo njia ya haraka ya kufanikiwa.