KAMPUNI kubwa za ndege duniani zinapanga kuanzisha utaratibu wa kila abiria kuonyesha kuwa na kadi ya chanjo ya ugonjwa wa Corona – akiwa hana maambukizi – kabla hajapanda ndege....
Tag: Tanzania
Environment
Politics
Technology
World
Environmental menaces threaten funding for Uganda-Tanzania crude oil pipeline
GIANT financial institutions have been made aware of the tremendous social and environmental menaces modelled by the pipeline that would be shuttling crude oil from Uganda to Tanzania, and...
UHUSIANO wa Tanzania na Kenya uliodumu miaka mingi, huenda ukavurugwa na chakula, hasa mahindi ambayo sasa yanadaiwa kuwa na sumu. Kenya inadai kuwa mahindi kutoka Tanzania hayafai kwa matumizi...
TANZANIA imeingia katika orodha ya nchi zinazotumia ubabe na hila kubaki madarakani ikiwa ni pamoja na kuminya uhuru wa kupashana habari kwa kuzima mtandao wa mawasiliano wa intaneti. Ripoti...
THE Eminent Persons’ Tanzania Elections Watch (TEW) has released its final and conclusive report on the general election that took place on October 2020, giving a clear verdict that...
ZAIDI ya watu 600,000 nchini Tanzania wameingia kwenye mduara wa “umasikini wa kutupwa” na wanaishi magumu kutokana na mdororo wa uchumi – katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Mdororo...
IWAPO serikali ya Tanzania itaendeleza propaganda zake dhidi ya chanjo ya Corona, kuna uwezekano mkubwa wa Waislamu wa Tanzania kukosa fursa ya kwenda Hija mwaka huu, SAUTI KUBWA imeelezwa....
Economy
People and Events
Politics
Kijazi alimnusuru Majaliwa kufukuzwa uwaziri mkuu kwa sababu ya korosho
KAMA si ushauri wa Balozi John Kijazi, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, ambaye aliaga dunia siku chache zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa afukuzwe kazi kutokana na msimamo wake juu...
Afya
People and Events
Politics
Profesa Lumumba asema msimamo wa Magufuli kuhusu Corona ni ushirikina
PROFESA Patrick Lumumba, mwanazuoni wa Kenya ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa swahiba na mtetezi mkubwa wa Rais John Magufuli, sasa amemgeuka. Ametofautiana naye katika msimamo juu ya maambukizi ya...
TANZANIA has been reported to shy away from an important innovation, telecommunications and technology conference in Kenya that ended yesterday. According to the organisers, Nation Media Group (NMG), this...