KUMEKUWA na mjadala mzito juu ya ajenda ya Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) kuhusu ama kususa au kuzuia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku viongozi wa...
Tag: Chadema
Justice
Politics
Mahabusu wasimulia mateso ya kunguni, uchafu wa haja ndogo na kunyimwa dawa wakiwa vituo vya polisi Dar
MAHABUSI za vituo vya Jeshi la Polisi nchini Tanzania zimegeuzwa “jehanamu” za polisi kutesea mahabusu kinyume cha sheria, imefahamika. Baadhi ya mahabusu walioshikiliwa katika mahabusi hizo wameeleza kuwa vituo...
JESHI la Polisi nchini Tanzania limeingia katika hatua mpya ya uonevu na udhalilishaji wa raia, baada ya akina mama waliokuwa wameshikiliwa na polisi kwa siku kadhaa kinyume cha sheria...
FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo rumande katika gereza la Ukonga, Dar es Salaam, ametuma ujumbe wa maandishi kwa Watanzania na kuwapa ujumbe maalumu. Huu hapa chini: “Hali...
NDANI ya siku tatu, Jeshi la Polisi limekamata na kunyima dhamana wanachama wa Chadema zaidi ya 40 katika Jiji la Dar es Salaam, SAUTI KUBWA imeelezwa. Leo pekee, polisi...
Justice
People and Events
Politics
Kesi ya Mbowe yashindikana kusikilizwa kwa masafa. Polisi wadhulumu wafuasi wa Chadema mahakamani
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limelazimika kutumia nguvu kutawanya wafuasi na mashabiki wa Chadema waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatilia...
Justice
People and Events
Politics
Mbowe illegally held at Oysterbay Police Station. Lawyers speak up
AFTER four days of public speculations on the whereabouts of Tanzania’s Opposition Leader Freeman Mbowe, it has been revealed that he is held in custody at the Oysterbay Police...
IMEBAINIKA kuwa mashitaka ambayo Jeshi la Polisi linajaribu kumtengenezea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, yana mkono mrefu wa Ikulu. Taarifa za uhakika ambazo SAUTI KUBWA imezipata kwa vyanzo mbalimbali...
LOCAL and international pressure, mainly through the “Twitter Republic” – exerted by human rights defenders, politicians and analysts – has been termed as the cause behind the release of...
Justice
People and Events
Politics
World
Chadema, US decry Tanzania government’s malicious charges against Mbowe
DETAINED Tanzania’s main opposition leader Freeman Mbowe and other 15 prominent members of Chadema are due to appear in court tomorrow to answer charges of conspiracy to commit terrorist acts and...