VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa....
People and Events
Afya
People and Events
Politics
Diallo aitibua CCM kuhusu ushindi wa uchaguzi mkuu 2015, afya ya mgombea urais
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Dk. Anthony Ngw’andu Diallo, amekosoa vikali utendaji wa kiongozi wa nchi hiyo aliyepita, hayati John Magufuli, kwa sababu...
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Mwanza, Dk. Anthony Diallo, kudokeza kuwa chama chao kimewahi kuteua mgombea urais mwenye historia ya ugonjwa wa kichaa,...
KATIKA ukurasa wake wa Facebook, Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe ameandika chapisho akalipa kichwa “INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE!” Linatoa uchambuzi mfupi na maono yake baada ya kumsikiliza...
UTATA mkubwa umegubika kifo cha mkazi wa Jiji la Dodoma, Josephat Hans, ambaye anadaiwa kutoweka – kwa miaka miwili sasa – akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi ambalo lilimkamata...
Corruption
People and Events
Politics
Why Bukoba’s educated masses should avoid docility, complacency to avert the regime’s vicious sting
This article was written and shared by Deogratias Rweyongeza (PhD) to a specific online community known as Friends of Bukoba (FoB) of which he is a co-founder. It underscores...
IN her first 100 days as President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan has made a mark. In the words of Bishop Benson Bagonza of Karagwe Diocese, Samia has “achieved...
WAANDISHI wa habari watatu wanaofuatilia na kuandika zaidi habari za aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, wanaoendelea kushikiliwa mahabusu, wametishiwa...
WILLIAM Ruto, Makamu wa Rais wa Kenya, amesema katika kuwania uongozi wa nchi hiyo mwakani hatapigana “vita vya nyama,” bali atazidisha maombi na sala kwa Mungu. Ruto ameeleza haya...
VICKY Nsilo Swai, a woman who kept Nelson Mandela’s pair of leather boots for 33 years, will be laid to rest tomorrow, Tuesday June 15, 2021 in her home...